Huduma Zenye Nguvu
Kila unachohitaji kusimamia fedha za sherehe au tukio lako kwa ufanisi
Fuatilia Miamala
Rekodi michango yote ya kifedha na uhifadhi kumbukumbu zote kwa uwazi na usalama.
Simamia Ahadi
Fuatilia kiasi kilichoahidiwa na michango isiyolipwa kirahisi bila kutumia madaftari na kalamu.
Tengeneza Ripoti
Pata muhtasari wa wakati halisi na uchambuzi wa kuona wa miamala yote katika sehemu moja.
Hesabu Jumla
Jumlisha fedha taslimu, ahadi, na deni kwa ufasaha wa maelezo.
Taarifa za SMS
Taarifu wachangiaji wako mara moja kupitia SMS pale wanapotoa michango mbalimbali.
Hifadhi kama PDF
Hamisha data ya wachangiaji wote ikiwa ni pamoja na fedha taslimu, ahadi, na deni ambayo itakuwa rahisi na kutumia kwenye vikao/kamati.
Hariri & Futa Miamala
Badilisha au futa miamala ikiwa imeingizwa kwa makosa kwa kumbukumbu kamili za ukweli.
Tengeneza Risiti
Tengeneza risiti zenye taarifa kamili kuhusu miamala iliyofanyika
Huduma ya Whatsapp
Tumekuwekea huduma ya Whatsapp kwenye mfumo wetu ili iwe rahisi kutuma risiti zako, taarifa ya jumla pamoja na kukumbusha wadaiwa kiurahisi
Huduma kwa wateja
Mfumo maalumu wa Tiketi ambao mteja wetu anaweza kutumia kuwasiliana na kituo chetu cha Usaidizi 24/7 kwa usaidizi wa papo hapo.
Uko Tayari Kurahisisha Uendeshaji wa Fedha za Sherehe Zako?
Jiunge na mamia wa waandaaji wa sherehe ambao wanathamini FMSPoint kwa mahitaji yao ya uandaa pesa.